Karibu kwenye sehemu ya Online Tests za Wanafunzi ya Masomo Yetu. Hapa unaweza kufanya majaribio ya mtandaoni katika masomo mbalimbali, kujipima, kuona kiwango cha uelewa wako na kuimarisha maarifa yako.
Chagua Darasa Lako
Chagua darasa unalosoma ili kuona masomo yaliyopo na kuanza kufanya majaribio.
- Elimu ya Awali
- Darasa la Kwanza
- Darasa la Pili
- Darasa la Tatu
- Darasa la Nne
- Darasa la Tano
- Darasa la Sita
- Darasa la Saba
Jinsi ya Kutumia Online Tests
- Chagua darasa lako.
- Chagua somo unalotaka kujipima.
- Fungua jaribio na soma maelekezo kabla ya kuanza.
- Jibu maswali kwa umakini na wasilisha majibu yako ili kuona matokeo.
Jifunze, jipe changamoto na boresha matokeo yako kupitia Masomo Yetu!