Pata nukuu za masomo (notes), mitihani mock, past papers, lesson plans na online tests kwa Elimu ya Awali na Msingi. Vilevile fanya maadalizi ya usahiri wa ualimu (Intervie for Teaching). Jiunge bure au pata "full access".
Pata nukuu kamili za masomo kwa kila darasa kuanzia Awali hadi Darasa la VII, jipime kwa mitihani ya mazoezi na mock kwa maandalizi bora ya mitihani ya mwisho na jipime kwa majaribio ya mitihani moja kwa moja kupitia mfumo wa online tests.
Masomo yote yameandaliwa kwa kuzingatia mtaala rasmi wa Tanzania ili kumsaidia mwanafunzi kuelewa vizuri masomo yake.
Platform yetu ni rahisi kutumia kupitia simu, tablet au kompyuta hivyo mwanafunzi anaweza kujifunza wakati wowote.
Tunalinda taarifa za watumiaji wetu kwa mfumo salama wa kisasa ili kuhakikisha matumizi ya website ni salama.
Kupitia mazoezi ya mara kwa mara, mitihani na online tests wanafunzi hupata maendeleo ya haraka katika masomo yao.
Pata nukuu za masomo zilizoandaliwa kitaalamu ili kuwasaidia walimu kufundisha kwa ufanisi darasani.
Pata maandalio ya vipindi vinavyoendana na mtaala wa Tanzania ili kurahisisha ufundishaji wa kila siku.
Tengeneza au pakua mitihani ya kupima maendeleo ya wanafunzi kwa urahisi na haraka.