Kuhusu Sisi

Kuhusu Masomo Yetu

Masomo Yetu ni jukwaa la elimu lililoanzishwa kusaidia wanafunzi na walimu wa Tanzania kupata rasilimali muhimu za kujifunzia na kufundishia.

Kupitia tovuti hii, tunatoa:

  • Nuku za masomo (Lesson Notes)
  • Maandalio ya masomo (Lesson Plans)
  • Mitihani ya majaribio na past papers
  • Online tests kwa wanafunzi wa elimu ya awali na msingi.

Lengo letu ni kurahisisha upatikanaji wa elimu bora kwa kutumia teknolojia.

Scroll to Top