Lesson Plans Standard 4 Tanzania – Maandalio ya Masomo Darasa la 4

Maandalio ya Masomo Darasa la 4 (Lesson Plans Standard Four)

Hapa utapata maandalio ya masomo kwa Darasa la 4 yaliyotengenezwa kulingana na mtaala wa Tanzania.
Maandalio haya yatasaidia walimu kuandaa vipindi vya kufundishia kwa urahisi na ufanisi zaidi.

Katika ukurasa huu utapata lesson plans za masomo mbalimbali kama vile:

  • Kiswahili
  • English
  • Hisabati (Mathematics)
  • Sayansi (Science)
  • Jiografia
  • Historia

Walimu wanaweza kusoma maandalio haya moja kwa moja hapa au kupakua faili kamili kwa matumizi darasani.

AZIMIO LA SOMO

Jina la shule:    ______________________________________________________________________           

 Jina la mwalimu:____________________________________________________________________

 Somo: KISWAHILI    Darasa:   IV             

Tarehe: _______________________________     Muda: ____________________________________

Idadi ya wanafunzi
WalioandikishwaWaliohudhuria 
WasichanaWavulanaJumla WasichanaWavulanaJumla 
      

Umahili Mkuu: KUWASILIANA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI

Umahiri Mahususi: Kuendeleza mazungumzo katika muktadha mbalimbali.

Shughuli Kuu: Ndani ya vipindi kadhaa mwanafunzi ataweza kulinganisha vitu kwa kutumia maneno, kusimulia matukio kwa kuzingatia njeo na kujielezea kwa kujiamini.

Shughuli Mahususi: Ndani ya kipindi cha dakika 40 Mwanafunzi aweze Kutumia maneno kuliko, zaidi ya, mfano wa, kama na mithili ya katika sentensi.

Zana za Ufundishaji na Ujifunzaji: Picha, ubao, kadi maneno, vitabu.

Rejea: TET. (2023). TET. (2023). Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi  Darasa la Nne: TET, DSM.

Hatua za Ufundishaji na Ujifunzaji

HatuaMudaShughuli za ufundishajiShughuli za ujifunzajiViashiria vya Upimaji
UtanguliziDak 5Mwalimu Kuonesha vitu darasani na kuuliza wanafunzi walinganishe.Wanafunzi kujibu maswali na kutoa mifano.Wanafunzi wanatoa mifano sahihi.
Kuendeleza umahiriDak 20Mwalimu kuelezea matumizi ya maneno; kuliko, zaidi ya, kama, mithili ya.Wanafunzi Kuandika na kusoma sentensi.Matumizi sahihi ya maneno.
UbunifuDak 10Mwalimu Kutoa kazi za vikundi zoezi la kujaza nafasi.Kufanya zoezi kwa vikundi.Majibu sahihi.
TathminiDak 5Kusisitiza hoja kuu.Kutoa mifano mipya.Wanafunzi kutoa mifano sahihi

Maoni: _______________________________________________________________________________________________________
________________________________________________________________________________________________________

____________________________________________________________________________________________________________

_______________________________________________________________________________________________________

Pakua Maandalio Kamili ya Masomo Darasa la 4

Jiunge bure ili kupata:

✔ Lesson plans zote za masomo
✔ Files za kupakua (PDF na Word)
✔ Maandalio mapya kila wiki

Register

Login


Discover more from Masomo Yetu

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Andika hapa Topic unayohitaji uletewe

Scroll to Top

Discover more from Masomo Yetu

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading