Falsafa na Maadili ya Ualimu
Karibu katika moduli ya Falsafa na Maadili ya Ualimu kwa wanafunzi wa Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Msingi. Jifunze kwa kufuata mtiririko wa mada na nukuu hapa chini. Mada zimepangwa kuanzia dhana za msingi za falsafa, matawi yake na mchango wa wanafalsafa katika elimu, kabla ya kuendelea na misingi na maadili ya taaluma ya ualimu.
Umahiri Mkuu 1.0: Kumudu Falsafa na Maadili ya Ualimu
Umahiri Mahususi 1.1: Kuchambua Falsafa na Misingi ya Elimu
Fuata mfuatano wa mada hizi ili kujenga uelewa wa falsafa, elimu na misingi ya kifalsafa inayoongoza ufundishaji na ujifunzaji.
A. Dhana ya Falsafa na Falsafa ya Elimu
- 1. Dhana ya Falsafa: Maana, Asili, Sifa, Matawi na Umuhimu Wake
- 2. Dhana ya Falsafa ya Elimu
- 3. Dhana na Maana ya Elimu
- 4. Uhusiano kati ya Falsafa na Elimu
B. Matawi ya Falsafa na Mchango Wake katika Elimu
- 1. Muhtasari wa Jumla: Matawi Makuu ya Falsafa
- 2. Metafizikia: Maana, Matawi, Mitazamo na Umuhimu Wake
- 3. Epistemolojia: Maana, Vyanzo vya Maarifa, Nadharia na Umuhimu Wake
- 4. Aksiolojia: Maana, Matawi, Nadharia na Umuhimu Wake katika Maisha na Elimu
- 5. Mantiki: Maana, Aina za Hoja, Kanuni na Umuhimu Wake katika Elimu
C. Wanafalsafa na Michango Yao katika Elimu
- 11. Wanafalsafa wa Ugiriki ya Kale na Michango Yao katika Falsafa ya Elimu
- 12. Wanafalsafa wa Enzi za Uamsho (Enlightenment) na Michango Yao katika Falsafa ya Elimu
- 13. Wanafalsafa wa Kisasa na Wanafalsafa wa Kiafrika na Michango Yao katika Falsafa ya Elimu
- 14. Nadharia na misimamo ya kifalsafa kuhusu elimu — Inaandaliwa
- 15. Matumizi ya misingi ya kifalsafa katika ufundishaji na ujifunzaji — Inaandaliwa
D. Dhana, Chimbuko na Maendeleo ya Elimu ya Msingi
- 16. Maana ya elimu ya msingi — Inaandaliwa
- 17. Chimbuko na maendeleo ya elimu ya msingi — Inaandaliwa
- 18. Malengo na nafasi ya elimu ya msingi katika jamii — Inaandaliwa
Maswali ya Kujipima: Umahiri 1.1
Umahiri Mahususi 1.2: Kutambua Maadili, Wajibu na Haki za Mwalimu wa Elimu ya Msingi
Sehemu hii itashughulikia misingi ya maadili ya ualimu, wajibu na haki za mwalimu, kanuni za mwenendo wa kitaaluma na matumizi ya maadili katika mazingira ya shule. Nukuu zitaongezwa hapa kwa kufuata mtiririko wa mada kadiri zinavyoandaliwa.
- 19. Dhana na umuhimu wa maadili ya ualimu — Inaandaliwa
- 20. Kanuni na viwango vya maadili ya mwalimu — Inaandaliwa
- 21. Wajibu na majukumu ya mwalimu wa elimu ya msingi — Inaandaliwa
- 22. Haki za mwalimu — Inaandaliwa
- 23. Miongozo na taratibu zinazosimamia taaluma ya ualimu — Inaandaliwa
- 24. Changamoto za kimaadili katika mazingira ya shule — Inaandaliwa
- 25. Matumizi ya maadili, haki na wajibu katika utekelezaji wa kazi za ualimu — Inaandaliwa
Namna ya kujifunza: Fungua kila nukuu kwa mpangilio. Baada ya kusoma mada, jibu maswali ya kujipima ili kutathmini uelewa wako. Mada zilizoandikwa “Inaandaliwa” zitaunganishwa na nukuu zake mara zitakapokamilika na kuchapishwa.
Mpangilio huu umeandaliwa kwa kuzingatia muhtasari wa TIE wa Somo la Falsafa na Maadili ya Ualimu (2023). Orodha ya mada italinganishwa na vipengele mahsusi vya muhtasari wakati wa kuandaa kila nukuu.