Jifunze Kiingereza kwa Kiswahili (English Course)

Karibu kwenye Ukurasa Maalumu wa Kujifunza Kiingereza kwa Kiswahili!

Je, umekuwa ukitafuta njia rahisi, ya haraka, na inayoeleweka ya kufahamu lugha ya Kiingereza bila kukariri? Umefika mahali sahihi. Ukurasa huu umeandaliwa mahususi kwa ajili ya kukusaidia mastering lugha ya Kiingereza (Grammar, Speaking, na Writing) kwa kutumia maelezo mepesi ya Kiswahili.

Hapa utapata:

  • Masomo ya Video: Video fupi na ndefu zinazochambua mada ngumu kwa lugha rahisi.
  • Notes & Booklets: Maelezo yaliyoandikwa kwa muundo rahisi kusoma wakati wowote.
  • Mazoezi na PDF za Bure: Kila somo linaambatana na mazoezi ya kujipima pamoja na faili la PDF unaloweza kulipakua (kudownload) kwa ajili ya kujisomea mwenyewe.

Mwalimu Wako:

Masomo haya yanaandaliwa na kuratibiwa na Japhet Sampala, Digital Creator na Mwalimu wa somo la Kiingereza

Chagua somo hapa chini kuanza safari yako ya kuzungumza Kiingereza kwa kujiamini leo!

Somo la 1: Kuelewa Demonstrative Pronouns (This, That, These, Those)

Scroll to Top