Falsafa na Maadili ya Ualimu – Mtiririko wa Nukuu

Falsafa na Maadili ya Ualimu

Karibu katika moduli ya Falsafa na Maadili ya Ualimu kwa wanafunzi wa Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Msingi. Jifunze kwa kufuata mtiririko wa mada na nukuu hapa chini. Mada zimepangwa kuanzia dhana za msingi za falsafa, matawi yake na mchango wa wanafalsafa katika elimu, kabla ya kuendelea na misingi na maadili ya taaluma ya ualimu.

Umahiri Mkuu 1.0: Kumudu Falsafa na Maadili ya Ualimu

Umahiri Mahususi 1.1: Kuchambua Falsafa na Misingi ya Elimu

Fuata mfuatano wa mada hizi ili kujenga uelewa wa falsafa, elimu na misingi ya kifalsafa inayoongoza ufundishaji na ujifunzaji.

A. Dhana ya Falsafa na Falsafa ya Elimu

B. Matawi ya Falsafa na Mchango Wake katika Elimu

C. Wanafalsafa na Michango Yao katika Elimu

D. Dhana, Chimbuko na Maendeleo ya Elimu ya Msingi

  • 16. Maana ya elimu ya msingi — Inaandaliwa
  • 17. Chimbuko na maendeleo ya elimu ya msingi — Inaandaliwa
  • 18. Malengo na nafasi ya elimu ya msingi katika jamii — Inaandaliwa

Maswali ya Kujipima: Umahiri 1.1

Umahiri Mahususi 1.2: Kutambua Maadili, Wajibu na Haki za Mwalimu wa Elimu ya Msingi

Sehemu hii itashughulikia misingi ya maadili ya ualimu, wajibu na haki za mwalimu, kanuni za mwenendo wa kitaaluma na matumizi ya maadili katika mazingira ya shule. Nukuu zitaongezwa hapa kwa kufuata mtiririko wa mada kadiri zinavyoandaliwa.

  • 19. Dhana na umuhimu wa maadili ya ualimu — Inaandaliwa
  • 20. Kanuni na viwango vya maadili ya mwalimu — Inaandaliwa
  • 21. Wajibu na majukumu ya mwalimu wa elimu ya msingi — Inaandaliwa
  • 22. Haki za mwalimu — Inaandaliwa
  • 23. Miongozo na taratibu zinazosimamia taaluma ya ualimu — Inaandaliwa
  • 24. Changamoto za kimaadili katika mazingira ya shule — Inaandaliwa
  • 25. Matumizi ya maadili, haki na wajibu katika utekelezaji wa kazi za ualimu — Inaandaliwa

Namna ya kujifunza: Fungua kila nukuu kwa mpangilio. Baada ya kusoma mada, jibu maswali ya kujipima ili kutathmini uelewa wako. Mada zilizoandikwa “Inaandaliwa” zitaunganishwa na nukuu zake mara zitakapokamilika na kuchapishwa.

Mpangilio huu umeandaliwa kwa kuzingatia muhtasari wa TIE wa Somo la Falsafa na Maadili ya Ualimu (2023). Orodha ya mada italinganishwa na vipengele mahsusi vya muhtasari wakati wa kuandaa kila nukuu.

Scroll to Top