Huduma Zetu

Karibu Kwenye Ukurasa wa Huduma Zetu

Karibu kwenye ukurasa wa Huduma Zetu. Kupitia Masomo Yetu tunatoa rasilimali mbalimbali za kielimu kwa wanafunzi na walimu wa Tanzania ili kurahisisha kujifunza na kufundisha.

1. Nukuu za Masomo (Lesson Notes)

Tunatoa nukuu za masomo kwa madarasa ya elimu ya awali na msingi kuanzia Darasa la 1 hadi Darasa la 7. Nukuu hizi zimeandaliwa kwa kufuata mtaala wa elimu wa Tanzania ili kusaidia wanafunzi kuelewa masomo kwa urahisi.

2. Maandalio ya Masomo (Lesson Plans)

Walimu wanaweza kupata maandalio ya masomo yaliyopangwa vizuri ili kusaidia katika ufundishaji darasani. Hii inarahisisha walimu kuandaa vipindi vyao kwa ufanisi.

3. Mitihani ya Majaribio na Past Papers

Tunatoa mitihani ya majaribio pamoja na mitihani ya zamani ili wanafunzi waweze kufanya mazoezi na kujiandaa vizuri kwa mitihani yao.

4. Online Tests

Kupitia mfumo wetu wa Online Tests, wanafunzi wanaweza kufanya majaribio ya maswali moja kwa moja kupitia mtandao na kupima kiwango chao cha uelewa.

5. Rasilimali za Walimu na Wanafunzi

Tunatoa pia rasilimali mbalimbali za kielimu zinazolenga kuboresha ufundishaji na ujifunzaji kwa walimu na wanafunzi.


Lengo letu ni kuhakikisha wanafunzi na walimu wanapata elimu bora kwa urahisi kupitia teknolojia.

Scroll to Top