Kuhusu Masomo Yetu
Masomo Yetu ni jukwaa la elimu lililoanzishwa kusaidia wanafunzi na walimu wa Tanzania kupata rasilimali muhimu za kujifunzia na kufundishia.
Kupitia tovuti hii, tunatoa:
- Nuku za masomo (Lesson Notes)
- Maandalio ya masomo (Lesson Plans)
- Mitihani ya majaribio na past papers
- Online tests kwa wanafunzi wa elimu ya awali na msingi.
Lengo letu ni kurahisisha upatikanaji wa elimu bora kwa kutumia teknolojia.